Southern Tanzania Visitors Guide 2021
Bofya hapa chini kujisomea/kutazama
Southern TZ Visitors Guide 2021 low-res
Jarida hili limezalishwa na kuchapwa na
Solimar International
3400 11th St. NW, Suite 200
Washington, D.C. 20010
202.518.6912
info@solimarinternational.com
solimarinternational.com
Publisher: Chris Seek
Editor: Natalie Sellier
Writer: Jennifer Lundt Creative
Director: Jeff Quire
Wachapishaji wa jarida hili akiwemo Natalie (Mhariri) na Jennifer (Mhandishi) waliwasiliana na Everyday Mbeya kuhusu matumizi ya picha betu katika jarida, Everyday Mbeya inane furaha kushirikisha picha zetu za Ziwa Ngosi, Ziwa Kisiba, Ziwa Nyasa, Hifadhi ya Taifa Kitulo, Maporomoko ya Kaporogwe, Daraja la Mungu na zingine katika jarida.
Enjoy!