Kwa haraka Unaweza fikili hapaa ni wapi?

Kwa mkazi wa mbeya Ukitaka kutoka kwenda mikoa ya njee kama Dar es salaam, dodoma au Arusha Hili eneo lazima Upite. Mdaa wote Nikisafiri Kupita eneo hili huwa napata hisia za kwaheri nyumbani Hivyo Hivyo kwa Wakati wa Kurudi piaa Nikifika Sehemu hii Napata Goosebumps or excitement that am Home “Nimerudi Nyumbani” Hisia hizi Zilipelekea siku moja Jumamos midaa ya saa nane mchana kutoka na rafiki zangu mbeya mjini mpaka eneo hili kwa Kupata picha ambayo Ntakuwa Napakumbuka Nikiwa nyumbani au njee ya nyumbani kwa bahati Nzuri Tulipata mwenyeji maeneo hayoo hivyo Aliweza kututembeza maeneo ambayo hatukujalajia kwenye mipango yetu lakini Ilikuwa ni bahati Nyingine Nzur zaidi ya kuweza kujionea kwa Undani zaidi eneo hilo la Mlima, Kwa Upande wa kushoto kwenye Uwo mlima kunaa Andaki”Tunnel” kubwa sanaa ambayo trains Zinapita Hakika ni lakushangaza kwa Ukubwa wake na giza zito kwa kufanya story iwee Nzur zaidi Tuliamua kukatisha katikati ya Andaki hilo kwa kutembea.

hakika Yalikuwa ni matembezi ya matumaini kwamba Tutafika tuu Upande wa Pili hadi Ilipo fikaa sehemu mbele Giza nyuma pia Giza kilaa mtu Akajawa na hofu kubwa sanaa wakati Tukiendelea taratibu kutafuta mwisho wa kutokea Tulisikiaa Train Ikiwaa Inakujaa kwenye andaki iloo kila mtu Alijawa na Hofu kwa kutojuwa nini cha kufanya mnaweza fikili hi moja ya story za Netflix lakini hii ni reality in mbeya, Ivyo mwenyeji wetu Akatupa moyo kwamba Tuongeze mwendo wa kutembea Tunaweza Liwaii train tukatoka salama Basi mimi Niliongoza mbele kwa speed Mungu mkubwa ile Tunatoka tuu kwenye Tunnel na train Likapita kwa honi nyingi sanaa Hakika it was crazy experience ever. Pia tulipata kupita daraja la Juu la train hakika Linashangaza sana kwa kulitazama Ukubwa wake piaa kunaa landscapes Nzur ambazo Unaweza kutazama Safu za mlima Loleza, Hakika Yalikuwa ni matembezi yenye Kushangaza na kufurahisha pia na manufaa yake. Tulilejeaa majumbani wote tukiwa salama na siku  Ikaisha kwa experience yake ya tofauti,

Makala haya yameandikwa na Bright nyondo

Bright ni mpiga picha mashuhuri jijini Mbeya na Dar es Salaam, kwa shughuli za harusi na matukio ya kitaalamu pamoja na safari.

Instagram: (@mysteriousalvin)
Simu:  +255653693889
Email: bright@everydaymbeya.com