Map Unavailable

Date/Time
Date(s) - 31/05/2025 - 01/06/2025
12:30 am - 2:00 pm

Location
Kaporogwe Waterfallls

Categories


Join our next trip to Kaporogwe Waterfalls from 31st May to 01st June 2025 in Rungwe.

Maporomoko ya Kaporogwe, pia yanayojulikana kama Maporomoko ya Kapologwe, ni kivutio cha asili kinachovutia kilicho karibu na kijiji cha Isuba, takriban kilomita 25 kutoka mji wa Tukuyu katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Maporomoko ya maji yanasimama takriban mita 25 na hupatikana kutokana na Mto Kala, mkondo mdogo wa Mto Kiwira.

Sifa ya kipekee ya Maporomoko ya Kaporogwe ni uwepo wa pango la asili nyuma ya maji yanayotiririka, linalowawezesha wageni kuona maporomoko ya maji kutoka ndani. Pango hili linaaminika kuwa na umuhimu wa kihistoria, kwani inasemekana lilitumiwa kama ngome au mahifadhi ya vikosi vya Kijerumani wakati wa Vita Kuu ya Kwanza. Aidha, zana za mawe kama vile vikasi na visu zimegunduliwa katika eneo hilo, zikionyesha umuhimu wa kihistoria wa eneo hilo kabla ya kipindi cha maandishi.

Safari kuelekea Maporomoko ya Kaporogwe inatoa mandhari ya kuvutia ya maeneo yenye rutuba na utajiri, ikiongeza uzoefu wa kipekee kwa watalii. Wageni wanaweza kushiriki katika shughuli kama kuogelea katika bwawa chini ya maporomoko, kuchunguza pango, na kutembea katika eneo hilo. Inashauriwa kuajiri mwongozo wa ndani ili kuelekeza kwa usalama katika eneo hilo na kupata maarifa zaidi kuhusu historia na umuhimu wa eneo hilo.

Meeting Point:
Posta Building, Mtaa wa Posta Mbeya Mjini.

About trip:
Hii ni safari ya kulala katika pango (Tent Camping), tutaondoka Jumamosi tarehe 31/05/2025 saa 12:30 mchana na kuanza kurejea kutoka kiiji cha Isuba Jumapili tarehe 31/06/2025 kabla ya jua kuzama.

Activities:
1. Walking Safari
2. Swimming & Water Sports
3. Cultural Tourism
4. Barbeque
5. Village Walk

Programu ya Jumamosi
12:30 –  Kuanza safari
13:30 – Kutembelea Daraja la Mungu na Kijungu
15:00 – Kuutazama Mji Mkongwe wa Tukuyu na historia yake
16:30 – Kufika Maporomoko ya Kaporogwe na kutazama Kijiji
17:30 – Muziki, Sinema na Nyamachoma

Programu ya Jumapili
09:00 – Breakfast
10:00 – Water Sports
13:00 – Lunch
14:00 – Kurejea Mbeya


Kijungu (Pothole)


Daraja la Mungu (God’s Bridge)

Malazi: Utalala nasi katika mahema, unaweza kulala mwenyewe au na mwenzako

 

Chakula: Uchaguzi wa chakula ni vile vya ujumla na kawaida, unaweza tazama hapo chini. Iwapo unatumia chakula tofauti au unayo machaguo bifafsi na mapingamizi ya chakula cha ujumla, wasiliana nasi.

 
Group plays during day break

What to Experience:
– Road trip in Tanzania Malawi road
– Large plantations of tea, bananas, and potatoes
-Kijungu and Daraja la Mungu
-Tukuyu Town
-Cultural Tourism in Isuba Village
-Friends and new people that you will surely meet

This trip is well designed for you and your friends

Restrictions:
No age restrictions, the park is available to everyone including children.

Muhimu:
1. Hakuna umeme wa grid, lakini utakuwepo umeme wa solar kwa ajili ya taa na kucharge simu.
2. Washroom rasmi hakuna, tutaweka mahala faragha pa kujisitiri, sabuni na maji ya kuoga yatapatikana
3. Huenda pakawa na baridi, hema litakua na godoro na shuka. Unaweza kujibebea kitu cha ziada cha kujifunika
4. Maji (0.5ltr) yatatolewa wakati wa safari njiani, walking safari na muda wa chakula. Lakini unaweza jibebea maji zaidi
5. General Doctor atakuwepo, iwapo una changamoto tafadhali wasiliana nasi wakati wowote

Contacts:
Guide: 
Mr. Ali Changae
Email: ali@everydaymbeya.com
Mobile: +255 778 226 797
Ofisi: +255 25 250 0103

Weka booking kwa kutumia website kwa kuchagua tiketi hapo chini, jaza taarifa zako na kisha lipia. Tiketi ya ushiriki ni lazima, zingine ni option, iwapo utatumia usafiri wako au hutokula mlo fulani, usichague. Lipa kadiri utakavyotumia.

Malipo:

1. Kwa Benki
Bank: EQUITY
Bank Swift Code: EQBLTZTZ
Account Name: KIWIRA CULTURAL TOURISM ENTERPRISE
Account Number: 3013211906910

2. Kwa Simu
TigoPesa Lipanamba: 891 5105

About US
Everyday Mbeya is a leading Visitors Information Centre and Tour Operators in the southern highlands with over five years experience in Tourism Enterprises which include safari trips, camping and over landing. Our office is in Mbeya Town with agents operating in Ruaha and Katavi National Parks, Isimila Stone-Age Site, Kalambo Waterfalls, Nakonde Zambia and Karonga Beach in Malawi.

We maintain visitors information program that provide reliable resources about destinations.

EverydayMbeya operates Kiwira Cultural Tourism Enterprises with offices in Kikota – Rungwe near Kiwira. Kiwira CTE offers exclusive cultural Tours to local and foreign visitors; we execute Nyakyusa and Safwa traditional experience in Rungwe.

Kiwira CTE is operating with supervision and guidance by the Cultural Tourism Department of the Tanzania Tourism Board (TTB)

 

Bookings

Tickets

Ticket Type Price Spaces
Entry Ticket
Hii ni tiketi ya lazima [Ada ya Ushiriki, Kiingilio, Malazi na Muongoza Wageni]
50,000.00
Transport Ticket (Option)
Tiketi hii ni kwa ajili ya wale watakaotumia usafiri wetu. Iwapo utatumia usafiri wako binafsi, usichague tiketi hii.
20,000.00
Dinner Day One (Option)
Kuku au Ng'ombe (Beef), Ugali, Chips au Ndizi, Matunda na Salad.
15,000.00
Breakfast Day Two (Option)
Maji ya Moto, Kahawa na Chai, pamoja na Chapati, Mkate, Maandazi, Mayai na Matunda.
7,000.00
Lunch Day Two (Option)
Nyama Choma ya Kuku au Ng'ombe (Beef), Ugali, Chips au Ndizi, Matunda na Salad.
15,000.00

Registration Information

Booking Summary

1
x Entry Ticket
50,000.00
Total Price
50,000.00