Date/Time
Date(s) - 26/04/2025 - 27/04/2025
11:00 am - 2:00 pm
Location
Kimani Falls, Kimani Village, Mbeya
Categories
Join our next trip to Mpanga Kipengere Game Reserve from 26th to 27th this April 2025.
Mpanga Kipengere ni eneo la uwanda wa juu katika kusini mwa Tanzania, linaloenea katika sehemu za Mbarali mkoani Mbeya na Makete mkoani Njombe. Pia linajulikana kama Safu za Kipengere. Safu hii ipo katika nyanda za juu kusini mwa Tanzania.
Eneo hili linajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, ikijumuisha miinuko mikali, vilima vinavyobiringika, na nyanda za juu. Pia lina bioanuwai kubwa, ikiwa ni pamoja na mimea na wanyama wa kipekee waliobadilika kuendana na mazingira ya uwanda wa juu.
Ukubwa wa hifadhi hii ni sawa kabisa na jiji lote la Dar es Salaam.
Meeting Point:
Posta Building, Mtaa wa Posta Mbeya Mjini.
About trip:
Hii ni safari ya kulala katika hifadhi (Tent Camping), tutaondoka Jumamosi tarehe 26/04/2025 saa 12:30 mchana na kuanza kurejea kutoka hifadhini Jumapili tarehe 27/04/2025 kabla ya jua kuzama.
Activities:
1. Walking Safari
2. Swimming & Water Sports
3. Cultural Tourism
4.
Maporomoko ya Nyaugenge ndani ya Hifadhi
Pango la Mkwawa na baadhi ya vitu vya asili alivyotumia Mtemi Mkwawa
Mabwawa ya kuogelea ndani ya hifadhi
Utalii wa Kiutamaduni ndani ya pango la Mkwawa
Maporomoko ya Ukovo
Malazi: Utalala nasi katika mahema, unaweza kulala mwenyewe au na mwenzako
Campfire at night
Chakula: Uchaguzi wa chakula ni vile vya ujumla na kawaida, unaweza tazama hapo chini. Iwapo unatumia chakula tofauti au unayo machaguo bifafsi na mapingamizi ya chakula cha ujumla, wasiliana nasi.
What to Experience:
Road trip to Mpanga Kipengere Game Reserve for about one and a half hour on Mbeya Iringa road.
Tourism in Kimani Waterfalls, Nyaugenge Waterfalls and other Waterfalls in the park, Mkwawa Cave that was used during his battle back in Colonial days, Walking Safari in the Reserve, Water Sports, Campfire, Storytelling, Music by the pools and off coarse friends and new people that you will surely meet.
Restrictions:
No age restrictions, the park is available to everyone including children.
Muhimu:
1. Hakuna umeme wa grid, lakini utakuwepo umeme wa solar kwa ajili ya taa na kucharge simu.
2. Washroom za kisasa zipo, sabuni na maji moto ya kuoga yatapatikana
3. Huenda pakawa na baridi, hema litakua na godoro na shuka. Unaweza kujibebea kitu cha ziada cha kujifunika
4. Maji (0.5ltr) yatatolewa wakati wa safari njiani, walking safari na muda wa chakula. Lakini unaweza jibebea maji zaidi
5. General Doctor atakuwepo, iwapo una changamoto tafadhali wasiliana nasi wakati wowote
Conservation Ranger Nsajigwa ataongoza wageni ndani ya hifadhi
Contacts:
Guide:
Mr. Ali Changae
Email: ali@everydaymbeya.com
Mobile: +255 778 226 797
Ofisi: +255 25 250 0103
Weka booking kwa kutumia website kwa kuchagua tiketi hapo chini, jaza taarifa zako na kisha lipia. Tiketi ya ushiriki ni lazima, zingine ni option, iwapo utatumia usafiri wako au hutokula mlo fulani, usichague. Lipa kadiri utakavyotumia.
Malipo:
1. Kwa Benki
Bank: EQUITY
Bank Swift Code: EQBLTZTZ
Account Name: KIWIRA CULTURAL TOURISM ENTERPRISE
Account Number: 3013211906910
2. Kwa Simu
TigoPesa Lipanamba: 891 5105
About US
Everyday Mbeya is a leading Visitors Information Centre and Tour Operators in the southern highlands with over five years experience in Tourism Enterprises which include safari trips, camping and over landing. Our office is in Mbeya Town with agents operating in Ruaha and Katavi National Parks, Isimila Stone-Age Site, Kalambo Waterfalls, Nakonde Zambia and Karonga Beach in Malawi.
We maintain visitors information program that provide reliable resources about destinations.
EverydayMbeya operates Kiwira Cultural Tourism Enterprises with offices in Kikota – Rungwe near Kiwira. Kiwira CTE offers exclusive cultural Tours to local and foreign visitors; we execute Nyakyusa and Safwa traditional experience in Rungwe.
Kiwira CTE is operating with supervision and guidance by the Cultural Tourism Department of the Tanzania Tourism Board (TTB)
Bookings
Bookings are closed for this event.